Habari za Punde

Salaam za Eid ul Fitr kutoka ZanziNews

ZanziNews yawatakia Waislamu wote ulimwenguni Eid ya kheri iliyojaa Baraka na upendo.
 
Taqabbala Allaahu Minnaa Waminkum. Mola atutakabalie sisi na nyinyi InshaaAllaah.
 
Kwa wasomaji na wapenzi wetu wa ZanziNews popote ulimwenguni waliopo nyumbani na wanadiaspora, kama una matukio yoyote ya sherehe za Eid ambayo unataka yarushwe hewani tutumie katika anuani ifuatayo
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.