Habari za Punde

Mchezo kati ya Kenya na Burundi Jioni hii Burundi imeshinda kwa Vikapu 56--40

Mchezaji wa timu ya Kenya akiwapita wachezaji wa timu ya Burundi katika mchezo wa Majeshi uliofanyika uwanja wa Gmykhana jioni hii.
                 Mchezaji wa timu ya Burundi akiwapita wachezaji wa timu ya Kenya akiwa na mpira.
Mchezaji wa timu ya Kenya akidunda mpira kujiandaa kuwapita wachezaji wa timu ya Burundi wakishiriki michezo ya Majeshi ya Afrika Mashariki yanayofanyika Mjini Zanzibar na kushirikisha Nchi tano Burundi Ruanda Uganda Kenya na wenyeji Tanzania.
               Mchezaji wa timu ya Kenya akijianda kuweka basketi wakati wa mchezo wao na timu ya Burundi

                           Mchezaji wa timu ya Burundi akidanki kufungabasketi katika mchezo huo.
Mchezaji wa timu ya Kenya akimpita mlinzi wa timu ya Burundi wakati wa mchezo wao, timu ya Burundi imeshinda kwa vikapu 56--40. 



Wachezaji wa timu ya Burundi wakishangilia ushindi wa timu yao ya Basketi kwa ushindi wa kuifunga timu ya Majeshi ya Kenya kwa vikapu 56--40

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.