Habari za Punde

Mchezo wa Majeshi Netiball kati ya Kenya na Uganda. uwanja wa JKU Saaten.

Wachezaji wa timu ya Uganda wakishangilia timu yao wakati ikicheza na timu ya Kenya katika uwanja wa JKU Saaten, timu ya Uganda imeshinda kwa mabao 30 --28. 
Mchezaji wa timu ya Uganda akidaka mpira wakati wa mchezo wao na timu ya Jeshi kutoka Kenya, mchezo uliofanyika katika uwanja wa JKU Saateni timu ya Jeshi Uganda imeshinda 30--28.
Mchezaji wa timu ya Uganda akijiadaa kudaka mpira huku mchezaji wa Kenya akijiandaa kumzuia wakati wa mchezo wao uliofanyika uwanja wa JKU Saateni Zanzibar.Michezo ya 8 ya Majeshi ya Afrika Mashariki yanayofanyika Zanzibar katika viwanja mbalimbali vya michezo.  

Kocha wa timu ya Kenya akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu ikiwa nyuma kwa mabao 24-22, mchezo uliofanyika katika uwanja wa JKU saateni Zanzibar, Timu ya Jeshi Uganda imeshinda mchezo huo kwa mabao 30--28.

Kizaazaa golini kwa timu ya Kenya, wachezaji wakiwania mpira uliokuwa ukirushwa golini. na mchezaji wa Uganda.  
Mchezaji wa Uganda kushoto na mchezaji wa Kenya kulia wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa michezo ya majeshi ya Afrika Mashariki uliofanyika katika uwanja wa JKU Saateni Zanzibar timu ya Uganda imeshinda kwa mabao 30-28.


Wachezaji wa timu ya Kenya wanaume wakishangilia timu yao wakiwapa moyo wachezaji wao  wa netiball ilipokuwa ikicheza na timu ya Uganda katika uwanja wa JKU Saateni Zanzibar timu ya Kenya imelala kwa e



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.