Habari za Punde

Michezo ya Majeshi Mpira wa Mikono Kati ya Uganda na Kenya Timu hizo zimetoka sare ya 26-26.

Mchezaji wa timu ya Majeshi ya Uganda Mwaronga Chester, akimpita mchezaji wa timu ya mpira wa mikono kutoka Majeshi Kenyakatika mchezo wa mpira wa mikono uliofanyika katika uwanja wa Brigedi ya Nyuki ikiwa ni michezo ya Majeshi ya Afrika Mashariki yanayofanyika Zanzibar.timu hizo zimetoka 
sare 26-26.  
Wachezaji wa timu ya Kenya wakimzuiya mchezaji wa timu ya Uganda wakati wa michuano ya 8 ya Majeshi ya Afrika Mashariki mchezo uliofanyika katika kiwanja kipya katika viwanja vya Bavuai migombani Zanzibar.



Kizazaa katika goli la timu ya Uganda wakati wa mchezo wao wa kwanza wa Michezo ya Majeshi inayofanyika katika viwanja vya Bavuai migombani, timu hizo zimetora sare ya 26-26. 




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.