Habari za Punde

Wafanyakazi wa Manispa Zanzibar wakiwa Kazini.

Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakiwa kazini kubadilisha mifunuko ya moja ya mtaro wa maji machafu katika eneo la mkunazini ambao sehemu ya mfuniko huo umeibiwa na watu wasiojilikana na kuacha sehemu hiyo kuwa wazi na kuhatarisha watumiaji wa barabara hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.