Habari za Punde

Mchezo Majeshi Kati ya Rwanda na Burundi uwanja wa Amaan Timu ya Burundi imeshinda 2--1

Mshambuliaji wa timu ya Rwanda akimpita beki wa timu ya Burundi, wakati wa mchezo wa majeshi uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Burundi imeshinda 2--0.
         Mshambuliaji wa Rwanda akipiga kichwa wakati wa mashambulizi golini kwa timu ya Burindi 
Mshambuliaji wa timu ya Burundi kushoto akijaribu kumpita beki wa timu ya Rwanda kulia katika michuano ya 8 ya Michezo ya Majeshi inayofanyika Zanzibar katika uwanja wa Amaan timu ya Buirundi imeshinda 2--1.
Mshambuliajin wa timu ya Rwanda akimpita beki wa timu ya Burundi katika michuano ya Majeshi ya Afrika Mashariki mchezo uliofanyika uwanja wa amaan jana, timu ya Burundi imeshinda 2--1











No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.