Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Husssein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kombe la Ubingwa la NBC Premer League 2024-2025, Timu ya Yanga Afrika imelichukuwa kwa mara ya nne, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-6-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wachezaji na Viongozi wa Timu
ya Yanga Afrika ilitowa Ubingwa wa Kombe la NBC Premer League 2024-2025, wakati
wa kukabidhiwa Makombe mbalimbali ya Ubingwa ya Timu hiyo iliyoyanyakuwa katika
msimu huu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
30-6-2025.

No comments:
Post a Comment