Habari za Punde

Ligu Kuu ya Zanzibar Kipanga na Chuoni, Kipanga imeshinda 2--0;

Mshambuliaji wa timu ya kipanga Mateo Antony, akimpita beki wa timu ya Chuoni Hamad Shamata

         Mshambuliaji wa timu ya Kipanga Mateo Antony, akiruka kiuzi cha beki wa timu ya Chuoni.


Mshambuliaji wa timu ya kipanga Yunus Benard, akimpita beki wa timu ya Chuoni Omar Mussa, katika mchezo wa ligi kuu ya grand malt, uliofanyika uwanja wa amaan.
Golikipa wa timu ya Kipanga akidaka mpira golini kwake huku mshambuliaji wa timu ya Chuoni akiwa jirani .
                Wachezaji wa timu ya kipanga wakishangilia bao lao la pili dhidi ya Chuoni.
Wachezaji wa timu ya Kipanga na Chuoni wakiwania mpira katika mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt, uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Kipanga imeshinda 2--0.
Benchi la Wachezaji wa timu ya Chuoni wakiwa na simazi baada ya timu yao kufungwa na timu ya Kipanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt uliofanyika uwanja wa Amaan. Timu ya Kipanga imeshinda 2--0.
Jopo la Waamuzi wa Ligi Kuu ya Grand Malt wakifuatilia mchezo huo kati ya Kipanga na Chuoni wakiwa na Mjumbe wa ZFA, Mhe, Abdallah Juma aliyeshika kidevu, wakiwa jukwaa la VIP Amaan.
Mchezaji wa timui ya Chuoni akimiliki mpira huku beki wa timu ya Kipanga akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt, uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya kipanga imeshinda 2--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.