Habari za Punde

Balozi Mpya wa Norway Kukutana na Dk.Shein leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mpya wa Norway Nchini Tanzania Bibi Hanne Marie  Kaarstad ambae alifika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana   na Balozi mpya wa Norway Nchini Tanzania Bibi Hanne Marie  Kaarstad ambae alifika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.