Habari za Punde

Mchezo wa karata : umefika wakati kuwekewa kanuni zake


MCHEZO wa karata ambao umekuwa ukichezwa kama sehemu ya starehe, wakati umefika kwa Zanzibar kuweka kanuni na kuwekea kombe maalumu ili wachezaji waone faida yake, kama hawa wa maskani ya wazee wa CCM Mkoani wakisafiri kwenye mchezo huo kwenye maskani yao (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.