Habari za Punde

Ufinyanzi wa Vyungu chini ya kikundi cha Jumuika, Chakechake




AKINA mama wa kikundi cha Jumuika cha Pembeni Mavungwa wilaya ya Chake Chake, wakiwa katika kazi za ufinyanzi wa Vyungu,Mikungu na viotezo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. (Picha na Ussi Faki, Pemba.)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.