Habari za Punde

Wananchi wakiangalia Magari yaliopata Ajali kwerekwe Zenj.jioni hii.

Wananchi wakiagalia magari yaliogongana katika barabara ya mwanakwerekwe, katika ajali hiyo iliotokea katika moja ya njia ya kukatisha kurudi sokoni kwerekwe gari ndogo ikiwa katika muelekeo wa kukata kona hiyo na kustukia kugongwa na gari ya pick up ikiwa na shehena ya saruji, katika ajali hiyo hakuna mtu akiyejeruhiwa ila kulikuwa na uharibifu wa gari ya salon upande wa dereva. kama inavyoonekana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.