Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010/2015 , imekuwa ikitekelezwa kwa Vitendo , Kampuni ya H-Young, ikiifanyia matengenezo Bara bara ya Pembeni -Pandani yenye urefu wa Kilomita 2, kwa kiwango cha Kifusi , kama alivyoahidi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk, Ali Moh'd Shein kuzifanyia Matengenezo barabara za Vijijini , hapa Magari ya Kampuni hiyo ikimwaga Kifusi tayari kwa matengezo kama yalivyokutwa na Mpiga picha wetu, Picha na Bakar Mussa-Pemba.
Habari : Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Ashiriki Mkutano wa Dharura wa SADC
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi
W...
7 hours ago

No comments:
Post a Comment