Habari za Punde

Mti uliokuwa umeanguka umeleta usumbufu kwa watumiaji wa barabara ya Amani - Daraja Bovu.

Wafanyakazi wa Idara ya Misitu wakiukata mti uliokuwa kando ya barabara ya amani daraja bovu uliokuwa umeanguka barabarani na kusababisha barabara hiyo kufungwa kwa masaa machache kupisha kuuondoa mti huyo.
Msongamano wa magari wakisubiri kukondoshwa kwa mti huo na taasisi husika, baada ya muda mfupi barabara hiyo imeweza kupitika kama kawaida 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.