Habari za Punde

Ujumbe wa wadi za Makunduchi wawasili Sweden

Diwani wa wadi ya Mzuri, bi Zawadi Hamdu Vuai akiwa uwanja wa ndege wa Amsterdam akijitayarisha kuelekea Sundsvall Sweden kwa ziara ya kikazi. Akiwa Sweden pamoja na wajumbe wenzake Mohamed Muombwa, mwalimu Kinore, ndugu Mohamed Simba na mw. Hafifth Hamidi (hawapo kwenye picha) atashiriki kwenye mikutano ya mashirikiano baina ya wadi za Makunduchi na Manispa ya Sundsvall. Wadi za Makunduchi zimekusudia kutumia mashirikiano haya kuboresha elimu maskulini.
Mjumbe wa wadi za Makunduchi wawasili sweden kwa ziara ya  kikazi, kutoka kushoto ni mwalimu Kinore, Mohamed Muombwa na Mohamed Simba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.