MRATIBU wa kituo cha huduma za sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Hemed Khamis, akizungumza na washiriki wa
kongamano la siku ya kimataifa ya haki ya binaadamu, lililofanyika kituoni hapo
mjini Chakechake Pemba (picha na Haji
Nassor, Pemba)
WASHIRIKI wa kongamano la siku ya kimataifa ya
haki za binaadamu, ambapo kitaifa kwa Pemba lilifanyika kituo cha huduma za
sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba (picha
na Haji Nassor, Pemba)
HAKIMU wa mahakama ya mkoa Chakechake Haji
Omar Sumbu, akifungua kongamano la siku ya kimataifa ya haki za binaadamu, lililoandaliwa
na kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kulia ni mwendesha
mashitaka Seif Mohamed Khamis, akifuatiwa na Mratibu wa ZLSC Pemba, Fatma Hemed Khamis na kushoto ni maofisa
mipango wa ZLSC Mohamed Hassan na Safia Saleh Sultan (picha na Haji Nassor, Pemba)
MSHIRIKI wa kongamano la siku ya kimataifa ya
siku ya haki za binaadamu sheikh Daud Salim Khamis, akichangia jambo kwenye
kongamano hilo lililofanyika na kuandaliwa na kituo cha huduma za sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
MSHRIKI wa kongamano la siku ya kimataifa ya
siku ya haki za binaadamu Mchungaji Benjamin Kissanga, akichangia mada kwenye
kongamano hilo lililofanyika na kuandaliwa na kituo cha huduma za sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment