Habari za Punde

Maalim Seif Akiendelea na ziara yake Nchi Uturuki

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni mashuhuri baada ya kufika kwenye jumba la makumbusho la Melvana nchini Uturuki.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo ndani ya jumba hilo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea sehemu ya jumba hilo la makumbusho.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea hospitali ya rufaa ya Acibaden mjini Istanbul nchini Uturuki akiwa katika ziara yake kutembelea Nchini hiyo (Picha na Salmin Said, Istanbul).

1 comment:

  1. Haya sasa na wala bado unaanza na kifimbo baadae utaenda na gongo kwani waswahili wanasema mla kuku wamwenziwe wa kwake humuelemea sasa na ww ulikuwa unapiga kelele fedaha za serikali zinafanyiwa ubadhirifu na viongozi sasa jeeeeeeeeeeeeee wewe unafanya nini abaaaa hakiiiiiiiiiiii kifimbo cheza na gongo laja uturuki kisha India au vipi sema poaaaaaa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.