MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taif,ambaye pia ni
Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla wa kwanza kushoto
akiongozana akizindua maandamano ya UVCCM Mkoa wa Kusini Pemba, yenye lengo la
Kumpongeza Dk Shein kutimiza miaka minne ya utawala wake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, ambae pia mwakilishi wa jimbo la kwamtipura, Hamza Hassan Juma, akiwaonesha wanachama wa chama cha Mapinduzi Pemba, katiba ya Zanzibar katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika maskani ya wazee Mchomanne Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, ambae pia
mwakilishi wa jimbo la kwamtipura, Hamza Hassan Juma, akiwaonesha wanachama wa
chama cha Mapinduzi Pemba, katiba ya Zanzibar katika mkutano wa hadhara wa CCM
uliofanyika katika maskani ya wazee Mchomanne Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment