AFISA Mdhamini shirika la Biashara la taifa ZSTC
Pemba Mhe:Abdalla Ali Ussi, akitoa ufafanuzi wa mafunzo ya Maadili mema na
uadilifu katika kufanya biashara ya karafuu, kwa mashekhe na maimamu wa miskiti
ya Mkoa wa kaskazini, huko katika ofisi ya Elimu Wilaya ya Wete.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Mkoa wa kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis
Othman, akifungua mafunzo ya siku moja kwa mashekhe na Maimamu wa Miskiti ya
Mkoa wa kaskazini Pemba, juu ya maadili mema na uadilifu katika kufanya
biashara ya karafuu, huko katika ofisi ya Elimu Wilaya ya Wete.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment