MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim
Massoud, akizungumza na wananfunzi na wazazi wa skuli ya sekondari Ziwani
Wilaya ya Chake Chake, wakati wa mahafali ya saba ya wahitimu wa kidato cha nne
kwa skuli hiyo.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim
Massoud, akimkabidhi cheti uwalimu bora katika mahafali ya saba ya wahitimu wa
kidato cha nne, katika skuli ya sekondari ziwani wilaya ya Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment