Habari za Punde

Baraza la Manispa Likiwa katika Zoezi la Magari Yanayoegeshwa Pasiporuhusiwa Mji Mkongwe.

Askari wa Manispa Zanzibar wakiwa katika harakati za kuliondosha gari iliopakiwa katika eneo halistahiki kupaki magari katika eneo Shirika la Bandari Malindi Zanzibar.
 Likivutwa na Gari maalum ya kuchukulia magari bila ya kuleta uharibifu wa gali linalochukuliwa.i

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.