#TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary afariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025.
Kwa taarifa zaidi, kurasa za ZBC @zbc_zanzibar zitaendelea kuwajuza.
#ZBCUpdates
No comments:
Post a Comment