RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali
alipowasili katika viwanja vya Mtende
Mkoa wa Kusini Unguja, kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa
Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika 10-5-2025 Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali
alipowasili katika viwanja vya Mtende
Mkoa wa Kusini Unguja, kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa
Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika l0-5-2025 Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa
Divisheni ya Usimamizi Msaada wa Kisheria Zanzibar,Yusfa Abdalla Said, wakati
akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa
Kusini Unguja, kabla ya kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliyofanyika leo
10-5-2025 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Wizara
ya Katiba na Sheria Tanzania –URT. Edith Shekidele, wakati akitembelea maonesho
hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja, kabla ya
kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa
Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika leo 10-5-2025 (kushoto kwa Rais)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun
Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkaguzi Msaidizi
wa Polisi, Vicent Innocent, Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, wakati
akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa
Kusini Unguja, kabla ya kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika leo
10-5-2025 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Afisa Habari
Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Asha Maulid Ali, wakati
akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa
Kusini Unguja, kabla ya kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika leo
10-5-2025 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi
na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuwapongeza Wanafunzi wa Skuli za Msingi kutoka Mkoa wa Kusini Pemba, baada ya kumaliza kutowa burudani ya wimbo maalumu wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa wa Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya Mtende 10-5-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzindua Kampeni ya Kitaifa
ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika leo 10-5-2025
katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja.

WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia
hutuba ya ufunguzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia,
wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akihutubia na kuifungua kampeni hiyo
iliyofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 10-5-2025. Katika viwanja
vya MtendeBAADHI ya Wanasheria wakifuatilia hafla ya
Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi
huo uliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja leo 10-5-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzindua Kampeni ya Kitaifa
ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika leo 10-5-2025
katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia
hutuba ya ufunguzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia,
wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akihutubia na kuifungua kampeni hiyo
iliyofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 10-5-2025. Katika viwanja
vya Mtende

vya Mtende.
BAADHI ya Viongozi mbalimbali wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya
Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika leo 10-5-2025
katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja.
BAADHI ya Viongozi mbalimbali wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya
Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uzinduzi huo uliyofanyika leo 10-5-2025
katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja
No comments:
Post a Comment