Habari za Punde

Chama cha ADC Chatowa Mafunzo kwa Mawakala Wao wa Usimamizi Uchaguzi Mkuu 2025

 

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha ADC Mhe. Hamad Rashid akizungumza na Mawakala wa Chama hicho wakati wa ufunguzi wa mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi hall la Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja leo 15-10-2025 na kuzungumzia Sera za Chama chake kikipata ridhiaa  ya kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu 2025.





















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.