Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muleba katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Kagera tarehe 15 Oktoba, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Muleba mkoani Kagera
waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 15 Oktoba, 2025.
Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Muleba mkoani
Kagera tarehe 15 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea
Ubunge wa Majimbo mbalimbali Mkoa wa Kagera mara baada ya kuwahutubia wananchi
wa Muleba mkoani humo tarehe 15 Oktoba, 2025.

No comments:
Post a Comment