Habari za Punde

Hitma kuwaombea wanaCUF waliofariki 2001

MAKAMU Mwenyekiti wa CUF taifa Mhe: Juma Duni Haji (katikati) akiwa amenyanyua mikono kuomba dua, kwenye hitma ya kuwaombea dua wanachama wa chama cha CUF, waliotangulia mbele ya haki mwaka 2001, dua hio iliohudhuriwa na viongozi mbali mbali wa kitaifa wa chama hicho, ilifanyika jana mskikiti wa Ijumaa Chachani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.