Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe (Wakombozi wa Ngambo)kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi, kimechukua nafasi ya Timu ya SC.Villa. ya Uganda baada ya kutoshiriki mashindano hayo. imekubali kipigo cha mabao 4--0. kikipasha misuli kabla ya kuaza kwa mchezo wao na Yanga.
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi mepesi kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi wakicheza na timu ya Taifa ya Jangombe.
Mwakilishi wa Mfenesini Zanzibar Mhe Ali Abdalla akisalimiana na Kamisaa wa Mchezo wa Yanga na Taifa ya Jangombe, uliochezwa jana usiku timu ya Yanga imeshinda 4--0
Mwakilishi wa Jimbo la Mfenesini Zanzibar, akiwasalimia wachezaji wa timu ya Yanga kabla ya kuaza mchezo wao na trimu ya Taifa ya Jangombe, uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mwakilishi wa Jimbo la Mfenesini Zanzibar, akiwasalimia wachezaji wa timu ya Taifa ya Jangombe kabla ya kuaza mchezo wao na trimu ya Taifa ya Jangombe, uliofanyika uwanja wa Amaan.
Wapiga picha za michezo wakifuatilia mchezo wa Kombe la Mapinduzi kati ya Yanga na Taifa ya Jangombe, uliofanyika uwanja wa Amaan mchezo huo timu ya Yanga imeshinda 4--0.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe kabla ya kuaza kwa mpambano huo uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Yanga imeshinda. 4--0.Kikosi cha Timu ya Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi linalofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kikosi cha Timu ya Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi linalofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Jangomba akitowa maelezo kwa wachezaji wake kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kwanza na Yanga katika uwanja wa Amaan, timu hiyo imekubali kipigo cha mabao 4--0
Mshambuliaji wa timu ya Yangac Conhtino akimpita beki wa timu ya Taifa ya Jangomba katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan..
Golikipa wa timu ya Taifa ya Jangombe akiokoa moja ya hatari katika goli lake wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi.timu ya Yanga imeshinda 4--0.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga akimpita beki wa timu ya Taifa ya Jangombe.katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan, Yanga imeshinda 4--0.
Kocha Mkuu wa timu ya Yanga akiwa na Kocha Msaidizi wakifuatilia mchezo huo na timu ya Taifa ya Jangombe uliofanyika usiku jana, Timu ya Yanga imeshinda 4--0.
Mchezaji wa timu ya Yanga akimpita beki wa timu ya Taifa ya Jangombe
Mchezaji wa Yanga Mlaiberia akichangilia bao la kwanza baada ya kutia krosi na kumkuta mfungaji Saimon Msuva, na kuandika bao la kwanza katika mchezo huo, mchezaji huo amefunga mabao 3, na kuzawadiwa zawadi na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo9 Zanzibar ZASWA.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Mrisho Ngasa akiweka majaro golini kwa timu ya Taifa ya Jangombe.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Mbrazil akimpita beki wa timu ya Taifa ya Jangombe. wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan. timu ya Yanga imeshinda 4--0.
Mshambuliaji wa Yanga Halfan Ngasa akimpita beki wa timu ya Taifa ya Jangombe. wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi timu ya Yanga imeshinda 4--0
No comments:
Post a Comment