Habari za Punde

Dk Shein aifungua Madrasatu Tawheed, Kiongoni, Makunduchi

Rais wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuifungua  Madrasatul Al-Tawheed iliyopo Kiongoni Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja jana alipofanya ziara maalum katika wilaya hiyo (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma Mhe,Haroun Ali Suleiman,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.