Habari za Punde

Jussa kuwapa ukweli Diaspora wa Washington DC, Marekani



Ismail Jussa , Mwakilishi wa Stone Town, Zanzibar kupitia chama cha CUF na mjumbe wa UKAWA atakuwepo Washington, D.C. (DMV) kuongea na waTanzania Jumamosi February 28, 2015 kuanzia saa 10 jioni hadi mbili usiku (4pm-8pm). Zingatia muda

Agenda;
Mchakato wote wa Katiba mpya
Ufafanuzi juu ya muundo wa serikali tatu
Uamuzi wa UKAWA kususia mchakato huo dhalimu 
Kwa nini Diaspora walitengwa kutoa maoni na uraia pacha
Maswali na majibu bila kikomo
Address: TABEER HALL 
1401 UNIVERSITY BLVD, HYATTSVILLE, MD

 
Amb. Donald Teitelbaum, Deputy Assistant Secretary, Bureau of African Affairs akiwa na Ismail Jussa US State dept jana

1 comment:

  1. Hizi mada zitakazozungumzwa mimi zinanipa tabu kidogo,kwanza haya maneno yanayotumika. Hivi neno 'Dhalimu limekaa sehemu sahihi pale.Sitaki kwenda kiundani kwenye huo mchakato ila kutumia neno 'dhalimu" ni ku exaggerate kwa hali ya juu. Lakini muwakilishi wa diaspora si alikuwepo bungeni iweje leo isemwe diaspora walitegwa. Propanga nyengine hazitufikishi mbali katika kulitetea na kuliletea maendeleo Taifa letu hili changa.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.