Habari za Punde

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akimkaribisha Nchini Rais wa Ujerumani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Nchini Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana usiku 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na  Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck baada ya kupokea shada la maua alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere     Dar es salaam jana usiku,kwa ziara ya kiserikali kushoto Mama Asha Bilal na Mama Schadt Gauck.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na  Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakiangalia ngoma za utamaduni alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere     Dar es salaam jana usiku
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na  Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakiangalia ngoma za utamaduni alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere     Dar es salaam jana usiku Februar 02,2015 kwa ziara ya kiserikali.
Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakisalimiana na Wamanchi alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere     Dar es salaam jana usiku
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtambulisha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck kwa Viongozi mbalimbali alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere     Dar es salaam jana usiku Februar 02,2015 kwa ziara ya kiserikali.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtambulisha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck kwa Viongozi mbalimbali alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere     Dar es salaam jana usiku Februar 02,2015 kwa ziara ya kiserikali.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akizungumza na Mke wa Rais wa Ujerumani Mama SChadt Gauck, alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jana Usiku Februar 02,2015.(PICHA OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.