Habari za Punde

Mama Asha awasili kisiwani Pemba


 
MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi, akiwasili katika uwanja wa Ndege wa karume Kisiwani Pemba, huku akipokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)


MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi, akisalimiana na msaidizi wa Makamo wa Pili Ofisi ya Pemba Mhe:Amran Massoud Amran, wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi, akisalimiana na vijana mbali mbali wa chama cha Mapinduzi waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Karume Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.