Habari za Punde

Matayarisho ya Mahafali ya kwanza ya chuo cha biashara na elimu Zanzibar

 BAADHI ya wanafunzi wa chuo cha biashara na elimu Zanzibar, Z.C.B.E wakifanya usafi ikiwa ni sehemu ya matayarisho ya mahafali ya kwanza ya chuo hicho yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi, chuo cha Amali Vitongoji Chake Chake Pemba, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa pili wa rais Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Idd, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MTENDAJI wa chuo cha biashara na elimu Zanzibar, Z.C.B.E Ahmed Mohamed akizungumza na wanafunzi juu ya matayarisho ya mahafali ya kwanza ya chuo hicho, yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi, chuo cha Amali Vitongoji Chake Chake Pemba, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa pili wa rais Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Idd, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.