Rais wa Ujerumani akiwasili Zanzibar kwa Boti ya Kampuni ya Azam Marine akitokea Dar-es-Salaam akiwa Zanzibar atakuwa na ziara ya Siku moja na kuelekea Mkoani Arusha., akiwa Zanzibar atazungumza na Viongozi wa Dini mbili za Kiislam na Kikristo katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Zanzibar.
Rais wa Ujerumani Mhe Joachim Gauck akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Dk. Mwinyihaji Makame akimshindikia baada ya kuwasili katika bandari ya Zanzibar forodhani Zanzibar kw ziara ya siku moja Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe, Joachim Gauck, wakati alipowasili bandari ya forodhani Zanzibar na kupokelwa na kupigwa mizinga ya kumkaribisha Zanzibar.
Rais wa Ujerumani Mhe, Joachim Gauck, akikagua bwaride maalum aliloandaliwa katika viwanja vya Bandari Zanzibar baada ya kuwasili leo asubuhi kwa ziara ya siku moja Zanzibar
Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim, akimtambulisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein kwa ujumbe aliofuatana nao alipowasili katika bandari ya forodhani
Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim akisalimiana na Viongozi wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar alipowasili katika bandari ya forodhani kuaza ziara yake Zanzibar ya siku moja leo asubuhi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim wakiangalia ngoma ya mwanandege ikichezwa katika viwanja vya bandri ya forodhani
Rais wa Ujerumani Mhe, Joachim Gauck, akisikilizia mlio wa zumari wakati akiangalia ngoma ya msewe, akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Wafanyakazi wa hoteli ya Marcury malindi wameshindwa kujizuiya na kuacha kazi kumlaki Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim, alipopita katika maeneo hayo akitokea bandari baada ya kuwasili Zanzibar akiwa na ziara ya siku moja Zanzibar.
Umati wa Wananchi wa Zanzibar wakimlaki Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim, wakiwa katika maeneo ya malindi
Wafanyakazi wa hoteli ya Marcury na Mkurugenzi wao Simai Mohammed Said wakimsalimia Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim, alipofika katika hoteli hiyo forodhani akiendelea na safari yake
Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim, akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza kumpokea wakatika katika barabara ya forodhani kuelekea shangani
Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim, akiwa katika picha na baadhi ya Wananchi waliofika kumpokea katika bandari ya Zanzibar
Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim akipita katika mitaa ya mji mkongwe Zenj
Watalii wakimlaki Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim, kwa kupeperusha bendara ya Nchi yao
Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim, akisalimiana na Wananchi katika maeneo ya bustani ya Forodhani
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe, Mwinyihaji Makame akiwa na mgeni wakeRais wa Ujarumeni Mhe Joachim, wakitembea katika mitaa ya Mji Mkongwe Unguja wakielekea hoteli ya Serena Inn.
Rais wa Ujarumeni Mhe Joachim, akisalimiana na mmoja wa Wataliikatika Mji Mkongwe wa Zanzibar Bi Christine Daude wakati akielekea kupumzika hoteli ya Serena Inn Shangani Zanzibar akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
Wananchi wa Mji wa Zanzibar wamejitokeza kumpokea Rais wa Ujerumani katika bandari ya Forodha Zanzibar na kutembea kwa miguu hadi hoteli ya Serena Inn Shangani

No comments:
Post a Comment