Habari za Punde

Ukarabati Taa za Solar Barabara ya Mlandege Zenj

Mafundi wa Baraza la Manispaa Zanzibar wakiwa katika zoezi la kiufundi katika moji ya taa za barabarani za nguvu za jua  za solar, wakiifanyia matengenezo kama walivyokutwa na mpiga picha katika barabara ya mlandege 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.