Habari za Punde

Mambo ya Utalii Mji Mkongwe Zenj

MJASIRIAMALI wa bidhaa za kutembeza katika Mji Mkongwe wa Zanzibar akiwa katika harakati  za kutafuta wateja wa bidhaa hizo katika maeneo ya mji mkongwe  akiwa na wageni wanaotembelea  maeneo ya historia ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.