Habari za Punde

Wanafunzi wakifurahia neema inayokuja

Wanafunzi wakifurahia neema mpya ya taaluma inayokuja. Kwa mujibu wa maelezo yao wanataka kituo hiki cha kompyuta kumalizika haraka iwezekabavyo ili wajiunge na ulimwengu wa elimu ya kompyuta.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.