Habari za Punde

Bonanza la wiki ya maji duniani kisiwani Pemba

 KIKUNDI cha mazoezi ya Viungo cha Mamlaka ya maji ZAWA Tawi la Pemba, wakiongozwa na mwalimu Talib katika mazoezi hayo wakati wa bonanza la wiki ya maji duniani hivi karibuni huko Chokocho Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 TIMU ya Mamlaka ya Maji ZAWA Tawi la Pemba, wakivuta kamba dhidi ya wapinzania wao timu ya Chokocho, ZAWA kuibuka bingwa katika uvutaji huo katika bonanza la Wiki ya Maji duniani lililofanyika hivi karibuni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MCHEZAJI wa Timu ya Wazee wa Chake Chake aliyejulikana kwa jina moja tu kisoda mwenye mpira, akitafuta mbinu za kumpita mlinzi wa timu ya ZAWA, mchezo huo uliopigwa katika kiwanja cha Wawi Ster huku timu hizo kufungana goli 1-1.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.