IPOHAJA kwa Serikali yakipa marufuku magari mabovu kutembea barabarani, kufuatia kisiwa Cha Pemba kuwa na gari nyingi sasa, picha wasamaria wema waliisukuma gari yenye ruti namba 309 iliyozima moto katika eneo la Chachani Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
DKT. TULIA ACKSON AACHIA MBIO ZA USPIKA WA BUNGE LA TANZANIA
-
Dkt. Tulia Ackson ametangaza kujiondoa rasmi katika kugombea nafasi ya
Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha
Mapinduzi (CC...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment