Wachezaji swa timu ya Italian Stars wakiingia uwanja tayari kwa mchezo wao wa Kirafiki wa Kimataifa na Timu ya Zanzibar All Stars, mchezo maalum wa kichangia Watoto Yatima Kijiji cha Makunduchi Unguja Wilaya ya Kusini Unguja. wakiwa na Watoto kutoka Makunduchi

Kikosi cha timu ya Italian Stars wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Zanzibar All Stars kuaza usiku huu katika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu hizo zimetoka sare ya bao 3--3
Kikosi cha Timu ya Zanzibar All Stars kilitowa presha kwa timu ya Italian Stars kwa kulazimisha sare ya kufungana mabao 3--3 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika uwanja wa amaan usiku huu. 
Mwakilishi wa Makunduchi Mhe Haroun Ali Suleiman akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Zanzibar All Stars kabla ya mchezo wao wa kimataifa kuchangia Watoto Yatima katika Kijiji cha Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.
Mwakilishi wa Makunduchi Mhe Haroun Ali Suleiman akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Italian Stars kabla ya mchezo wao wa kimataifa kuchangia Watoto Yatima katika Kijiji cha Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.

No comments:
Post a Comment