Habari za Punde

Mhe Jussa kwenye mkutano na Wanadiaspora wa DMV Marekani

Mwakilishi wa Jimbo la Stone, Town, Zanzibar Mhe. Ismail Jussa kupitia chama cha wanainchi CUF ambae pia mjumbe wa UKAWA aliweza kuongea na waTanzania waishio. (DMV) na kumuuliza maswali mbali mbali kuhusu mustakabali wa nchi yetu, Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.