Habari za Punde

Mwakilishi wa Makunduchi Azindua Tamasha la Michezo Jimboni Kwake.

Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Ali Suleiman akisalimiana na Wanamichezo wa mchezo wa Baskele kabla ya kuaza mbio hizo za baskeli kwa Vijana wa Vimbo lake, wakati wa Tamasha la Michezo lililoandaliwa na Mwakilishi huyu kwa Wananchi wa Makunduchi    
Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi akiazisha mbio za Baskeli zilizowashirikisha Vijana wa Jimbo la Makunduchi zilizoazia katika katika eneo la Polisi Koba makunduchi Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi akionesha bendera juu kuashiria kwa kuazisha resi za ngalawa wakati wa Tamasha la Michezo lililofanyika Makunduchi, resi hizo zimeazia katika ufukwe kwa kigaeni Kae  
Mshindi wa kwanza wa mbio za Baskeli akikabidhiwa zawadi yake na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Ali Suleiman amejishindia shilingi laki mbili taslim, zilizotolewa na Mwakilishi wakati wa Tamasha la Michezo jimbo la Makunduchi Zanzibar
Mshindi wa kwanza wa resi za ngalawa akikabidhiwa zawadi yake na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman.
Mhe Haroun Ali Suleiman akiwakabidhi washindi wa mbio za baskeli na galawa zawadi zao baada kushika nafasi ya pili na tatu katika Tamasha la Michezo la Jimbo la Makunduchi (Picha na Abdalla Masangu)    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.