Katibu wa Usalama wa Raia, Demokrasia na Haki za Binadamu wa Marekani Bi Sarah Sewall atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari.
MADA…JITIHADA ZA KUPAMBANA NA MISIMAMO MIKALI DUNIANI
SIKU YA JUMANNE MACH 17… SAA 3:45
MAHALA..UKUMBI WA KITUO CHA KUSAIDIA VIJANA MWEMBE MADEMA NYUMA YA KITUO CHA POLISI CHA MADEMA
Waandishi mnaombwa kuja na kuzingatia na Muda.
IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment