Habari za Punde

ZAWA Pemba watembelea Wodi ya watoto Hospitali ya Chakechake na kutoa misaada

 DAKTARI dhamana wa Hospitali ya Chake Chake Dk Yussuf Hamad Iddi, akitoa shukurani zake kwa uongozi wa ZAWA Pemba na Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud, baada ya kupatiwa msaada katika wodi ya Watoto.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 KAIMU Mkurugenzi Mamlaka ya Maji ZAWA Tawi la Pemba, Mhe:Juma Ali Othman, akizungumza na uongozi wa Hospitali ya Chake Chake ugonzi wa ZAWA ulipofika kwa lengo la kutoa zawadi kwa wodi ya Watoto katik hospitali hiyo, katika shamra shamra za wiki ya Maji Duniani.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Maji ZAWA Tawi la Pemba, wakiwa msikiliza mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud wakati alipokuwa akizungumza na viongozi wa Hospitali ya Chake Chake na ZAWA baada ya kupokea zawadi za wodi ya Watoto zilizotolewa na ZAWA.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud, akizungumza na watendaji wa Hospitali ya Chake Chake na ZAWA Pemba, mara baada ya kupokea zawadi kwa Wodi ya Watoto katika hospitali hiyo, ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya maji Duniani.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud , akimkabidhi boksi la biskuti Daktari dhamana wa Hospitali ya Chake Chake DK Yussuf Hamad Iddi, zilizotolewa na Mamlaka ya maji Pemba, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud , akimkabidhi ndoo maalumu za kutilia taka Daktari dhamana wa Hospitali ya Chake Chake DK Yussuf Hamad Iddi, zilizotolewa na Mamlaka ya maji Pemba, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud, akimkabidhi Biskuti na maji, mama wa mtoto aliyelazwa katika wodi ya watoto ndani ya Hospitali ya chake Chake ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Mji Duniani.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud, akimfariji mtoto Ilham Ali Omar aliyelazawa katika wodi ya watoto ndani ya Hospitali ya chake Chake ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Mji Duniani.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MTOTO Mahir Matar Sarahan akipokea zawadi ya Biskuti kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud, wakati alipokwenda kutoa zawadi kwa watoto waliolazwa katiak wodi ya watoto ndani ya hospitali ya Chake Chake ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Mji Duniani.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.