Habari za Punde

Balozi wa Uingereza akutana na Waziri wa Ardhi

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bi. Dianna Melrose wakati balozi huyo alipomtembelea Mheshimiwa Lukuvi ofisini kwake kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu uendelezaji wa  uendelezaji wa sekta ya ardhi nchini Tanzania
.(Picha na  Nanyaro,Clarence - Wizara ya Ardhi).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.