Mashabiki wa timu ya Muembeladu wakishangilia timu yao ili kupata ushindi ikiwa nyuma kwa mabao 2--0 dhidi ya timu ya Miembeni City.
Wachezaji wa timu ya Muembeladu wakimlalamikia Muamuzi wa Mchezo huo kwa uchezeshaji wake wa upendeleo kwa timu ya miembeni wakati wa mchezo wao wa kutafuta Bingwa wa Wilaya ya Mjini Daraja la Pili, uliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar timu ya Miembeni imeshinda 2--0..
No comments:
Post a Comment