Habari za Punde

Maalim Seif Achukua Fumo Kugombea Urais Zanzibar


Maalim Seif Sharif Hamad akichukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar katika Tawi la CUF Bububu Zanzibar. 
Maalim Seif akionesha Fomu yake baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Tawi la CUF Bububu Zanzibar  
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia Wanachama wa CUF katika viwanja vya Tawi la CUF Bububu wakati wa kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar.
Viongozi wa CUF wakimsikiliza Maalim Seif akihutubia baada ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika viwanja vya Tawi la CUF Bububu Zanzibar 
Wanachama wa CUF wakimsikiliza Maalim Seif akiwahutubia baada ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Octoba 2015mkutano huo umefanyika katika Tawi la CUF Bububu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.