Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Balozi wa Malawi nchini Tanzania bibi Hawa Ndilowe alipofika ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Balozi wa Malawi nchini Tanzania bibi Hawa Ndilowe, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Balozi wa Malawi nchini Tanzania bibi Hawa Ndilowe, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake Migombani.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Japan bibi Batilda Buriani ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Balozi mteule wa Tanzania nchini Japan bibi Batilda Buriani ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Japan bibi Batilda Buriani baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake Migombani. (Picha na Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment