Habari za Punde

Uzinduzi wa Mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa nasaha zake kwa wanachama na wapenzi wa CCM  wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji wa Unguja
Baadhi ya WanaCCM na Wakereketwa na Viongozi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji wa Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Mwenyekiti wa wa Vijana Wilaya ya Mfenesini Marakibu Mbarouk Mrakibu Picha ya kuchora ya kukabidhiana hati ya Muungano Mzee Karume na Mwalimu Nyerere iliyouzwa kwa mnada Shilingi MIllioni Ishirini na Tatu wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji wa Unguja (kushoto) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Abdulghafar Idrissa Mikoba ya Ukili iliyouzwa kwa mnada wa shilingi Milioni Mbili wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji wa Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(wa pili kushoto) Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi Vuai Nahodha(kushoto) Mama Mwanamwema Shein (kulia) na Mwenyekiti wa Mkoa wa Magharibi Yussuf Mohammed Yussuf wakiwa katika hafla ya  Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana,
Kikundi cha Imarisha cha CCM MKoa Amani kikitoa burudani ya ngoma ya Tukulanga wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein

Mtoto wa Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Makongoro Nyerere akipokea  picha ya Mzee Karume na Mwalimu Nyerere wakikagua gwaride kutoka kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein iliyouzwa kwa mnada shilingi Millioni Nne wakati waUzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana
Picha ya kuchora ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ikiwa katika mnada kwa wanachama na wafanyabiashara mbali mbali wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort iliyouzwa kwa shilingi millioni Ishirini na Tatu na Laki mbili
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort akiwepo Mke wa Mamako wa Pili wa Rais Mama Pili Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea taarifa kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Magharibi Aziza Mapuri jana wakati waUzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Nne  kutoka kwa Waziri asiyekuwa na Wizara maalu na Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM NEC Machano Othman Said wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Tano kutoka kwa Waziri wa Fedha Omar Yussuf na Mkewe wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim na Cheki  kutoka kwa Mfanyabiashara Ahmada Shaa   wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni tano kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya kuuza Kuu (Peduu) Issa Kassim Issa wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resor
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Tanzania Abdalla Bulembo  wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha sillingi milioni mbili na nusu kutoka kwa Tauhida Cassiun Galos Nyimbo Mbunge CCM wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Mbili na Nusu kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Ibrahim Hussein Makungu (Bhaa) wakati wa Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Moja kutoka kwa Mjumbe wa Kamati Kuu wa CCM Khadija Mohamed Aboud Uzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Waziri wa Fedha na Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM NEC Omar Yussuf Mzee vyeti vya Shukurani kwa wafanyabishara na Wanachama mbali mbali waliochangia fedha   wakati waUzinduzi wa mfuko  wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana
Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi keki MkuuKiongozi wa  Kikundi Imarisha cha CCM Mkoa Amani Marium Omar keki iliyonadishwa kwa Shillingi Millioni Kumi na Mbili wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akishikilia Keki akiwa na Wajumbe waliochangia keki hiyo iliyouzwa kwa mnada wa shilingi Milioni Kumi na Mbili wakati wa mchango maalum wakati wauzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji wa Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pamja na Viongozi wengine (katikati) wakiwa katika Picha ya Pamoja na wanakamati wa Ushuhulikiaji uchagishaji Mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji wa Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.