Habari za Punde

Maonesho ya Picha ya Darasa la Mr Hiro kutoka JICA Japan.Forodhani nyumba ya Sanaa Zanzibar

Wanafunzi wa daraza la Mafunzo ya Upigaji wa Picha wakiangalia kazi yao wakati wa maonesho hayo yaliofanyika katika jumba la sanaa forodhani kuhusisha picha mbalimbali zilizopigwa nao kupitia mafunzo yanayotolewa na Mtaalamu wa Upigaji wa Picha na utengenezaji kuttumia programu ya Adobephotoshop. mafunzo hayo yamechukua miaka miwili yanategemewa kufungwa mwishoni mwa wiki hii. 
          Wanafunzi wa mafunzo ya upigaji wa picha wakiangalia kazi yao wakati wa maonesho hayo.
Mkufunzi wa Mafunzo ya Upigaji wa Picha kutoka Shirika la JICA Japani Mr Hiri Mitsuda akitowa maelezo kwa Mtalii wakati wa maonesho hayo yanayoendelea katika jumba la Muziki na Sanaa Forodhani Zanzibar.
Mr Hiro akizungumza na wanafunzi wake wakati wa maoesho hayo na kuwataka kuyatumia mafunzo hayo kwa kufanya maonesho ya Picha zao wanaopiga katika matukio mbalimbali Zanzibar ili kuweza kutumia Mafunzo hayo.




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.