Habari za Punde

PBZ wafutari na wateja wake Pemba

 WATEJA wa benki ya watu wa Zanzibar matawi ya Pemba, wakijumuika pamoja na watendaji wa benki hiyo, kwenye futari ya pamoja, ilioandaliwa Idara ya benki ya Kiislam ya PBZ, kwenye futari ya pamoja, iliofanyika mjini Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 BAADHI ya watendaji wakuu wa benki ya watu wa Zanzibar PBZ, wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo (wa pili kulia), Juma Amour Mohamed, wakijumuika pamoja na wateja wao wa matawi ya Pemba, kwenye futari ambayo iliandaliwa na benki hiyo, Idara ya kiislamu, na kufanyika mjini Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 
 MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya watu wa Zanzibar, PBZ katikati akizungumza na wateja wake, mara baada ya kuhudhuria futari ya pamoja ilioandaliwa na benki hiyo Idara ya Kiislamu, tawi la Pemba, kulia ni mjumbe wa kamati ya sharia ya Idara hiyo, dk Mohamed Hafidh Rajab na kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya PBZ Abdurra-haman Mwinyi Jumbe, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
KADHI wa Mahakama ya rufaa Zanzibar sheikh Daud Khamis Salim, akitoa neno la shukuran, kwa niaba ya wateja wa Benki ya watu wa Zanzibar, baada ya kumaliza futari ya pamoja iliondaliwa benki hiyo, Idara ya Kiislamu na kufanyika mjini Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.